Leyla amesema hajataka kusema mapema kwani anajua Kim anaujauzito na sio kitu kuzuri yeye kuskia taarifa kama hizi ila imebidi sababu ameulizwa. Leyla amesema walikutana na Kanye kimwili baada ya kujuana kwa siku mbili tu. Model huyo amesema mara ya pili wamekutana na Kanye West ilikuwa Mwezi wa Kumi mwaka jana wakati Kim tayari anategemea mtoto.
Mpaka sasa Jarida la Star na New York Post Wame Ripoti hii taarifa na Kanye West hajasema lolote.
Post a Comment