New Track :- MwanaFA & AY ft. J.Martins – Bila Kukunja Goti … [Prod. by Marco Chali]




Ni ngoma mpya iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu kutoka kwa MwanaFA pamoja na AY wakiwa wamemshirikisha msanii kutoka Nigeria maarufu kama J Martins, ngoma inaitwa “BILA KUKUNJA GOTI”.
Mdundo wa ngoma hii umetengenezwa na Producer Marco Chali kutoka MJ Records.
Kuwa wa kwanza kuisikiliza hapa chini …

Post a Comment

أحدث أقدم