NEW VIDEO : Nonini – Kwama Nao



Baada ya kuwa kimya kwa kipindi kirefu sasa msanii kutoka nchini Kenya akujulikana kama Nonini ameamua kuvunja ukimya na kuachia ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la “KWAMA NAO”…
Nonini ambae kwa sasa ni mtangazaji wa kituo kimoja cha radio cha 1FM nchini Kenya alishawahi kutamba na baadhi ya ngoma zake hapo nyuma kama Kadhaa, Keroro, Heshima na nyinginezo…
Check video yenyewe hapa chini 

Post a Comment

أحدث أقدم