NIKUMBATIE BY JOH MAKINI ITAZINDULIWA AMBASSADORS LOUNGE


Msanii wa miondoko ya Hip Hop kutoka hapa Tz maarufu kama Joh Makini, anatarajia kutambulisha nyimbo yake mpya “nikumbatie” siku ya tarehe 28/june/2013.
Mkali huyo kutoka kundi la weusi amesema uzinduzi wa nyimbo yake mpya inayoitwa ‘nikumbatie” aliyoshirikiana na Fundi Samweli itafanyika ndani ya Ambassadors Lounge.

Post a Comment

Previous Post Next Post