Msanii wa miondoko ya Hip Hop kutoka hapa Tz maarufu kama Joh Makini,
anatarajia kutambulisha nyimbo yake mpya “nikumbatie” siku ya tarehe
28/june/2013.
Mkali huyo kutoka kundi la weusi amesema uzinduzi wa nyimbo yake mpya
inayoitwa ‘nikumbatie” aliyoshirikiana na Fundi Samweli itafanyika
ndani ya Ambassadors Lounge.
إرسال تعليق