Official Video:- January Eleven Feat. Aunt Ezekiel - Movie Star


Its a brand new video kutoka kwa msanii wa kizazi kipya January Eleven ambae hapa ameachia video ya ngoma yake inayokwenda kwa jina la “MOVIE STAR”….
Pia katika ngoma hii, ameshirikishwa msanii wa filamu Tanzania akijulikana kama Aunt Ezekiel …Anti ameanza kuimba pia … Msikilize akiimba kwenye ngoma hii ya Movie Star.
Check video yenyewe hapa chini 

Post a Comment

أحدث أقدم