Jeneza lenye mwili wa Kashi wakielekea mazishini leo hii
Baadhi ya wasanii wa filamu na wadau wa tasnia hiyo leo wameungana na watu wengine katika mazishi ya msanii mwenzao Kashi ailyefariki dunia ivi karibuni na mazishi kufanyika jioni ya leo katika makabuli ya Kinondoni Muslim jijini Dar Ess Salaam
Ili ndiyo kabuli la Mpendwa wetu Kashi
Msanii Cloud akiwa na wasanii wengine katika mazishi
Baadhi ya waomblezaji wakielekea makabulini
Baadhi ya wasanii wakilia kwa uchungu
Picha kwa hissani ya Bongo5.comBongo5.com
إرسال تعليق