PICHA:- MAZISHI YA MAREHEMU LANGA KATIKA MAKABURI YA KINONDONI, DAR ES SALAAM …

Leo ndo ilikuwa siku ya kumpumzisha marehemu msanii wa Hip-Hop kutoka Bongo (Tanzania), LANGA Kileo a.k.a Langa … Alifariki Tarehe 13 mwezi huu katika hospitali ya Muhimbili alipokuwa akiugua na kulazwa …
Langa amezikwa katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar ambako kumehundhuriwa na umati wa watu waliokumbwa na majonzi makubwa sana …
Tazama picha za baadhi ya ndugu, jamaa, wanamuziki, marafiki n.k. katika mazishi yake …
IMG_0001
IMG_0003
IMG_0005
IMG_0015
IMG_0020
IMG_0018
IMG_9984
IMG_9985
IMG_9986
IMG_9989
IMG_9991
IMG_9992
IMG_9993
IMG_9996
Picha Na:-  GongaMx

Post a Comment

أحدث أقدم