Haya ndiyo mazingira ya hoteli waliyofikia Ivory Coast jijini dare s Salaam.
Hoteli ya Ledger Plaza iliyo eneo la Bahari Beach jijini Dar, utulivu unavyoonekana na ulinzi ulikuwa mkali.
Hapa ni saa chache kabla ya mechi ya leo na saa sita kamili ndiyo muda wao wa kuondoka kwenda Uwanja wa Taifa tayari kwa mchezo wao kuiva Taifa Stars ambayo pia imepania kushinda.
إرسال تعليق