Jana kampuni ya Cheusi Dawa Ilifanya #PoetryAddiction 2013 ikishirikisha wasanii wa Hip Hop na RnB kama Mad Ice, Chidi Beenz, Wakazi, One, Damian, FId Q Mwenyewe na wengine kibao. Show iyo Ambayo Ncha Kalih alihost na ilikuwa ya Live. ilikuwa ya Aina yake.
Check Picha Chini zilizopigwa na kampuni ya Slide Visuals





























إرسال تعليق