RADIO NA WEASEL WAPATA TUZO ZA NIGERIA ENTERTAINMENT


Uganda’s finests, GoodLyfe (Radio & Weasel) watajwa kuwania tuzo zinazoandaliwa nchini Nigeria za NIGERIAN ENTERTAINMENT AWARDS za mwaka huu … Wasanii hawa wameendelea kufanya vizuri kwenye music na kutajwa kwenye category za East African Artist/Group Of The Year huku hivi karibuni pia kutajwa kwenye Tuzo kubwa America na duniani za BET Awards …
Wasanii hawa walitajwa katika tafrija fupi iliyoandaliwa alhamis iliyopita ikielezwa kuwa wakati wa kupiga kura mtandaoni utaanza rasmi tarehe 28 June huku event kamili kufanyika mwezi wa 9 huko New York City, Marekani …
Wengine waliotajwa kwenye category hiyo ni pamoja na Navio, P Unit, K’Naan, Fally Ipupa na Camp Mulla.

Post a Comment

أحدث أقدم