RAIS KIKWETE AAPISHA MABALOZI WAWILI DODOMA LEO


  Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha  Mhe Luteni Jenerali Mstaafu Abdulrahman Shimbo (kuli) , anayekuwa balozi wa Tanzania nchini China
 Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha  Mhe Anthony Cheche (kushoto) anayekuwa Balozi wa Tanzania katika Congo DRC.
 Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete katika picha ya kumbukumbu  na Makamu wa Rais DktbMohamed Gharib Bilal pamoja na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue na Makatibu wakuu wa Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa na Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete na Makamu wa Rais Dkt Mohamed Gharib Bilal wakiwa na mabalozi wapya walioapishwa leo Juni 11, 2013 katika Ikulu Ndogo Dodoma. Mabalozi hao ni Mhe Luteni Jenerali Mstaafu Abdulrahman Shimbo (kuli) , anayekuwa balozi wa Tanzania nchini China na Mhe Anthony Cheche (kushoto) anayekuwa Balozi wa Tanzania katika Congo DRC

Post a Comment

أحدث أقدم