Serikali imeamua kutengeneza Academy yake ambapo kwa kushirikiana na Klabu ya Ligi Kuu ya England ya Sunderland itaanzisha Academy hiyo.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete ambaye leo ametembelea na kukutana na Rais wa Sunderland Elis Short makao makuu ya klabu hiyo huko Stadium Of Light ambapo amekubaliana na Rais huyo wa Sunderland kuwa Serikali ya Tanzania ijenge Academy hiyo na Sunderland wao watatoa wataalam na hata ikiwezekana baadaye vijana kuchukuliwa na timu hiyo.
Mazungumzo Na Rais Jakaya Kikwete moja kwa moja toka London, Uingereza na kwanza Tujue kama Sunderland watajenga hiyo Academy au la?
إرسال تعليق