TAIFA STARS NA TEMBO WA IVORY COAST WAGONGANA MAZOEZINI TAIFA, ILIKUWA...



Mchua misuli wa timu ya soka ya taifa ya Ivory Coast, kulia akimnyoosha viungo kiungo wa timu hiyo, Yaya Toure wakati wa mazoezi yao jioni ya leo Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam kujiandaa na mchezo wa kesho wa Kundi C dhidi ya wenyeji Tanzania kuwania tiketi ya kucheza Fainali za Kombe la Dunia mwakani nchini Brazil utakaopigwa kuanzia saa 9:00 Alasiri kwenye Uwanja huo huo.

Bakari Kone

Mbwana Samatta wa Tanzania, akiugulia maumivu baada ya kupigwa na mpira chini ya kitovu jioni ya leo Uwanja wa Taifa, Ivory Coast walianza mazoezi saa 10:00 jioni wakaipisha Taifa Stars baada ya saa moja. 

Mrisho Ngassa

Juma Kaseja

Kevin Yondan kulia na Amri Kiemba kushoto 

Kutoka kulia Khamis Mcha 'Vialli', Simon Msuva, Frank Domayo, Mwinyi Kazimoto na Vincent Barnabas

Kutoka kulia Thomas Ulimwengu, Salum Abubakar na Erasto Nyoni

Kutoka kulia Abdul Razak, Bakari Kone na Gervinho

Solomon Kalou kushoto na mpira

Ivory Coast wakijifua
Simon Msuva kushoto akikabiliana na Aggrey Morris

Grvinho akimtoka Abdul Razak

Kevin Yondan akitafuta mbinu za kumtoka Mudathir Yahya kulia

Mbwana Samatta akiwatoka Aggrey Morris na Mudathir Yahya

Mbwana Samatta amempa mwili Nadir Haroub 'Cannavaro' ili Simon Msuva afunge

Vincent Barnabas akimtoka Mrisho Ngassa

Ngassa akikabiliana na Haruna Athumani aliyelala...kulia Barnabas

Mbwana Samatta na Kevin Yondan walitanua vifua juu ya goli kwa mazoezi ya viungo

Mwinyi Kazimoto akionyesha ufundi mazoezini Stars
http://bongostaz.blogspot.com/

Post a Comment

Previous Post Next Post