Jhiko Man
Super
Maya Baikoko kutoka Tanga wakifanya vitu vyao kwenye tamasha la siku ya
muziki duniani lilifonyika jana kwenye viwanja vya posta Kijitonyama
Dar es Salaam
Mratibu
wa Utamaduni wa Goethe Institut-Tanzania, Daniel Semheho (kulia)
akiteja jambo na kiongozi wa kundi la Super Maya Baikoko Juma Nassoro
(kushoto) katikati ni Mzungu Kichaa.
Godzila
Ben Paul
Sarakasi pia zilikuwepo, kutoka makini kids
Msanii Nyemo
Barnaba na bendi yake
Kala Jeremiah
--
--
Tamasha hilo liliandaliwa na umoja wa ulaya wa taasisi za
utamaduni (EUNIC) na kudhaminiwa na Fastjet, Pepsi, Total na balozi za
Ujerumani na Ufaransa.
إرسال تعليق