UJUMBE WA TMF WATEMBELEA OFISI ZA CHANGAMOTO, THE FOOTBALL


Ofisa Uhakiki wa Miradi ya Mfuko wa Vyombo vya Habari Tanzania (Tanzania Media Fund - TMF), Sanne Vanden Barg akisisitiza jambo kwa waandishi wa habari wa magazeti ya Changamoto  na The Football wakati ujumbe wa TMF ulipotembelea katika ofisi za Ladyband zilizopo mtaa wa Daima  Mikocheni jijini Dar es Salaam. Kulia ni Ofisa Miradi wa TMF Alex Kanyambo na Kushoto ni Naibu Mhariri Mtendaji wa Gazeti hayo Samson Kamalamo

Post a Comment

أحدث أقدم