Ni video mpya kabisa kutoka kwa Snura ambae pia anajihusisha na sanaa ya filamu … ameachia video yake hii iliyokuwa inasubiriwa kwa hamu sana …
Snura ameachia video ya “MAJANGA” ambayo imefanywa na kampuni ya Image Arraye Production… Baadhi ya vipande vya video hii, vimerekodiwa nchini South Africa …
Check MAJANGA yanavyoendelea ndani video hii ;
إرسال تعليق