VIDEO YA OMMY DIMPOZI ALIVYOPIGWA CHUPA NA MAWE AKIWA STEJINI NA KUKATISHA SHOW YAKE MJINI DODOMA JANA
Hisia0
Jana DODOMA katika show ya Kilimanjaro Ommy Dimpoz na madansa wake wamejikuta wakiambulia kupigwa mawe na chupa jukwaani, hali iliyowafanya walikimbie jukwaa...
Pamoja na kupigwa mawe na makopo, jamaa walijikaza kisabuni mpaka baunsa akaamua kuwatoa jukwaani ili kunusuru roho zao.....
Kisa cha kupigwa mawe nkinatokana na tusi la Ommy Dimpoz kwa marehem Ngwea...
Ommy alimtusi Ngwea kwa kudai kuwa ujinga wake ulimfanya afe masikini na kwamba yeye kwa sasa amechoka kuzika watu masikini...
Post a Comment