Rapper Chidi kutoka LaFamilia/ILALA awafungukia wasanii wenzie kuhusu uongo na maneno ya chini chini yanayoonekana kuendelea lakini inakuwa tofauti na kwa mashabiki wao hasa wanapokuwa jukwaani … Kitendo hiki, Chidi Beenz amekiweka kama kutenganisha mashabiki …
Chidi ameandika, “Wasanii wengi waongo.nikiwemo labda,ila tunajua kazi kweli tukiwekwa pamoja jukwaani na watu wakitazama. Mashabiki tunawatenganisha kwa story nyingi zinazotokea lazima wachague upande ila Muhimu Kazi Ifanyike. Fanya Kazi.take care”
Katika kumalizia ujumbe wake kwa wasanii wenzie, Chidi amewataka kufanya kazi na kuwa waangalifu
إرسال تعليق