Aliyekuwa Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi wa Chama cha Demokrasia na
Maendeleo (CHADEMA), Wilaya ya Wanging'ombe, Oscar Mbafu, akighani
shairi la kuisifia CCM na kuinanga Chadema baada ya kuondoka cha ma
hicho na kuijinuga na CCM, katika mkutano wa hadhara uliohutubiwa na
viongozi wa CCM, akiwemo Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, katika
Kata ya Luduga, wakati wa ziara ya kikazi ya kuimarisha uhai wa chama
hicho pamoja na kukagua utekelezaji wa ilani ya chama. PICHA NA KAMANDA
RICHARD MWAIKENDA
Aliyehama Chadema na kujiunga na CCM, Oscar Mbafu akitangaza kutoa
kwenye chama hicho cha awali na kujiunga CCM katika mkutano huo wa
hadhara.
Katibu Mkuu wa CCM, Abbdulrahman Kinana akihutubia katika mkutano wa
hadhara katika Kata ya Luduga, wilayani Wanging'ombe. Katika mkutano
huo, Kinana alikemea uchochezi unaofanywa na wapinzani kwa wananchi. Pia
alizisaidia timu za wilayani humo mipira 10 na jezi kumi kwa ajili ya
michuano mbalimbali
Post a Comment