RAIS KIKWETE NA MKEWE MAMA SALMA WAKIWA KATIKA ZIARA YA KIKAZI -JAPAN.ISOME ZAIDI HAPA


IMG_3141 
Rais Jakaya Kikwete akiambatana na mke wake Mama Salma tarehe 30. 5.2013 wakitembelea makumbusho ya karakana ya sayansi ya TOSHIBA iliyoko huko Kawasaki karibu na Tokyo nchini Japan inayohusika na utengenezaji wa injini za treni na vifaa vingine vye elektroniki  wakiangalia laptop ya kwanza  pamoja na calculator iliyotengenezwa  na kampuni hiyo mwaka 1985. Rais Kikwete yupo nchini Japan kuhudhuria mkutano wa tano wa uhusiano wa kiuchumi kati ya Japan na Africa. IMG_3147 
Rais Jakaya Kikwete akiambatana na mke wake Mama Salma tarehe 30. 5.2013 wakitembelea makumbusho ya karakana ya sayansi ya TOSHIBA iliyoko huko Kawasaki karibu na Tokyo nchini Japan inayohusika na utengenezaji wa injini za treni na vifaa vingine vye elektroniki  wakiangalia laptop ya kwanza  pamoja na calculator iliyotengenezwa  na kampuni hiyo mwaka 1985. Rais Kikwete yupo nchini Japan kuhudhuria mkutano wa tano wa uhusiano wa kiuchumi kati ya Japan na Africa. IMG_3210 
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akisalimiana na Seneta Tetsuro Yano, Rais wa Association of African Economy and Development  (AFRECO) wakati Mama Salma akifuatana na Rais Kikwete walipohudhuria kwenye chakula cha usiku  (working dinner) kilichoandaliwa na seneta  huyo pamoja na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Japan  kuzungumzia uwekezaji  wa Japan kwa nchi za Afrika . Working dinner hiyo ilifanyika huko Tokyo nchini Japan tarehe 30.5.2013.
 PICHA NA JOHN LUKUWI

Post a Comment

Previous Post Next Post