Rais
Jakaya Kikwete akiambatana na mke wake Mama Salma tarehe 30. 5.2013
wakitembelea makumbusho ya karakana ya sayansi ya TOSHIBA iliyoko huko
Kawasaki karibu na Tokyo nchini Japan inayohusika na utengenezaji wa
injini za treni na vifaa vingine vye elektroniki wakiangalia laptop ya
kwanza pamoja na calculator iliyotengenezwa na kampuni hiyo mwaka
1985. Rais Kikwete yupo nchini Japan kuhudhuria mkutano wa tano wa
uhusiano wa kiuchumi kati ya Japan na Africa.

Mke
wa Rais Mama Salma Kikwete akisalimiana na Seneta Tetsuro Yano, Rais wa
Association of African Economy and Development (AFRECO) wakati Mama
Salma akifuatana na Rais Kikwete walipohudhuria kwenye chakula cha usiku
(working dinner) kilichoandaliwa na seneta huyo pamoja na Naibu
Waziri wa Mambo ya Nje wa Japan kuzungumzia uwekezaji wa Japan kwa
nchi za Afrika . Working dinner hiyo ilifanyika huko Tokyo nchini Japan
tarehe 30.5.2013.
PICHA NA JOHN LUKUWI
إرسال تعليق