ZIFF WAFUNGUA PAZIA KWA TUZO ZA WASANII WA FILAMU



Tamasha linalofanyika kila mwaka Visiwani Zanzibar kwa kushirikiana na nchi za Jahazi linalofahamika kwa jina la Zanzibar International Film Festival(ZIFF) kuanza rasmi Tarehe 29 June – 7 July 2013.
Tamasha hilo ambalo litadumu kwa muda wa siku kumi, litafanyika Visiwani Zanzibar, litawajumuisha watu 150,000 ambao watakaoangalia movie na ku- attend katika different workshops kwa ajili ya mafunzo ya upigaji picha za mnato na picha za sipidi.

Pamoja na hayo kutakuwa na burudani kutoka kwa wasanii mbalimbali wa ndani na nje ya Tzee. Kwa upande wa Tzee watakaotoa burudani ni Skylight band, Kasimu Mganga, Linah, Barnaba, Mrisho Mpoto, Fid Q , wakubwa na wanae pamoja na wasanii wengine wengi.

Post a Comment

أحدث أقدم