Baada ya kuvaa uhusika wa mzee Mandela katika movie hii, Idris Elba kuwa mtu mweusi wa kwanza kuvaa uhusika wa James Bond

Tetesi zinazidi kusambaa kuwa
hueanda Idris Elba akawa mtu
mweusi wa kwanza kusaini mkataba
wa kuuvaa uhusika wa ‘James Bond’
baada ya Daniel Craig anaemaliza
mkataba wake hivi karibuni ikiwa ni
mhusika wa sita katika kipindi cha
miaka 5, huku trailer ya Movie ya
Elba kuhusu harakati za Mandela
ikianza kuenekana "Long Walk to
Freedom".
Fans wa movie za James Bond
wanazidi kujiuliza maswali nani
ataichukua nafasi ya Craig, lakini
tetesi zinazidi kusambaa kuwa kuna
uwezekano mkubwa wa kumpa
nafasi hiyo mtu mweusi, na
muigizaji nyota Idris Elba
anaonekana kunyooshewa vidole
zaidi.
Lakini tetesi hizi zinauconnection ya
ukweli kwa kuwa moja kati ya
washiriki wa movie ya ‘Sky Falls’ya
James Bond alikaririwa kwenye
mahojiano akisema Elba alikutana
na Barbara Broccoli ambae ni
mtayarashaji wa siku nyingi wa
movie za Bond.
Elba ameliambia Mirror Daily kuwa
hizo ni tetesi tu lakini anafurahi
kuona sasa watu hawaangalii tena
rangi ya mtu.
“I’m also encouraged that audiences
are being more color-blind these
days.”Alisema Elba.
Idris Elba ni muigizaji wa Uingereza,
mwimbaji na producer ambae
alianza kung’ara kwenye tasnia ya
maigizo kupitia tamthilia(Soap
Opera) ya Family Affairs.
Hivi sasa Idris Elba amemaliza
kushoof movie inayoonesha maisha
ya mwanaharakati Mzee Nelson
Mandela wakati akipigania uhuru na
imepewa jina la ‘Long Work to
Freedom’
Iangalie hapa trailer ya movie hiyo.

Post a Comment

أحدث أقدم