Na Gladness Mallya
STAA wa muziki na filamu Bongo, Baby Joseph ‘Baby
Madaha’ ameomba pambano la ndondi dhidi ya
Jacqueline Wolper ili waweze kumaliza ubishi wa bifu
lao.
Akipiga stori na paparazi wetu mapema wiki hii, Baby
alisema amechoshwa kusikia tambo za mpinzani wake
huyo hivyo kama kweli ni mwanamke, wakutane ulingoni
ili amuoneshe cha mtema kuni.
“Asiniambie mimi natafuta kiki, mimi ni msomi kuliko
yeye, arudi shule au akauze vipodozi. Najua kuimba,
kuigiza na ni msomi yeye anaweza hayo? Kimsingi
naomba pambano nimtandike ulingoni,” alisema Baby
Madaha.

Post a Comment