Msanii
mtanzania BeeMan aliyepata nafasi ya kusimamiwa kazi zake na label ya
Love Child inayomilikiwa na Wyre wa Kenya ametoa video ya wimbo wake
mpya ‘Kizunguzungu’.
Katika wimbo huu ‘Kizunguzungu’ Bee Man kutoka Arusha amemshirikisha
bosi wake Wyre na wimbo huu unafuata baada ya single yake iliyopita
‘Embe dodo’.
إرسال تعليق