
Kufuatia upepo wa wasanii wa muziki hivi
sasa kuonyesha ama kuweka wazi mapenzi yao na vyama vya siasa na
wengine kujiunga kabisa na vyama hivi hapa nchini, Hali imekuwa tofauti
kabisa kwa msanii Ben Pol ambaye ameapa kuwa hawezi kushiriki wala
kupigia debe chama chochote katika shughuli zake.
Msikilize hapa
Post a Comment