Dar es salaam yetu katika pitapita zake ilibaini tukio hilo na kujalibu kuuliza na kupokea jibu moja tuu labda imewekwa kama moja ya pambo. |
Katika
hali isiyo ya kawaida mitaa ya Sinza Shekilango imeonekana Bendera
kubwa ya Taifa ikiwa inapepea ndani ya Bar huku kila mtu akitazama na
kukaa kimya
Hata
hivyo juhudi za kuwauliza wahusika kwa nini wamefanya kuweka Bendela
hiyo kubwa ya Taifa ambayo hupatikana maeneo husika na kwa kibali
hazikufanikiwa kwa kila mtu kumtupia mwenzake mpira
Mpaka tunaondoka eneo la Tukio bado Bendera iliendelea kupepea na kwamba ipo hapo kila siku
hizo ni Baadhi ya picha ya eneo hilo(PICHA NA DAR-ES-SALAAM YETU BLOG)
إرسال تعليق