je wewe ni blogger na unasumbuka wakati wa kuandika
post hasa unapotaka kuweka picha na video? kama ndiyo kuna program ya
windows ambayo itaurahisishia sana kazi yako. program hiyo inaitwa WINDOWS LIVE WRITER. kwa
program hii unaandika post kwa kutumia word processor maalum kwa
blogs(blogger, wordpress na nyinginezo). unaweza kuweka link, picture na
video kutoka online ama kutoka kwenye kompyuta yako. kuna vingine vingi
utavipata utapoanza kutumia prgram hii.
unaweza
kuipata program hii kwa kuitafuta kwenye kompyuta yako kama umeinstall
windows live. kama hujainstall windws live unaweza kudownload na kisha
kuinstall kwa kubonyeza HAPA.
usiache kushare na wenzako.
إرسال تعليق