Kigogo wa usajili wa Yanga SC, Seif Ahmad 'Magari' akiwa na
mshambuliaji wa kimataifa wa Uganda, Hamisi Friday Kiiza Uwanja wa
Taifa, Dar es Salaam baada ya mechi kati ya Tanzania na Uganda. Kiiza
amewasili Alasiri ya leo kwa ajili ya kusaini Mkataba wa miaka miwili
kuendelea kuichezea Yanga SC, baada ya mvutano wa muda mrefu na uongozi
wa klabu hiyo.
Kutoka kulia Kiiza,Katibu was Yanga, Lawrence Mwalusako, Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili, Abdallah Bin Kleb na Seif Magari
Kiiza akifurahia baada ya Uganda kuifunga Tanzania 1-0
Post a Comment