Mchezaji wa Kimataifa Mtanzania, anayechezea
timu ya kikapu ya Oklahoma City Thunder ya Marekani, Hasheem Thabeet
akiwapungia mikono wapenzi wa soka wakati wa mechi ya Taifa Stars na timu ya
Uganda 'The Cranes'ya kuwania kufuzu michuano ya Afrika ya wachezaji wa ndani
(CHAN), kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam
Mchezaji wa Kimataifa Mtanzania, anayechezea
timu ya kikapu ya Oklahoma City Thunder ya Marekani, Hasheem Thabeet
akiwasalimia wapenzi wa soka wakati wa mechi ya Taifa Stars na timu ya Uganda
'The Cranes'ya kuwania kufuzu michuano ya Afrika ya wachezaji wa ndani (CHAN),
kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam
إرسال تعليق