Katika
siku za karibuni nimepokea malalamiko kuhusu hali tete na tata katika
Kituo cha Mabasi cha Ubungo (UBT) kinachosimamiwa na kuendeshwa na
Halmashauri ya Jiji la Dar Es Salaam.
Kufuatia malalamiko hayo, nimechukua hatua zifuatazo mpaka sasa: Mosi, tarehe 15 Julai 2013 nilifanya ziara ya ghafla kujionea hali halisi, sehemu ya ziara hiyo inaweza kutazamwa kupitia: ambapo nilibaini kwamba hatua za haraka zinahitajika.
Nimeshuhudia hali ya uchafu ikiwemo utiririkaji wa maji machafu ndani ya Kituo cha Mabasi ambayo yanatuama na hadi kubadilika rangi na kuwa ya kijani ambapo ni hatarishi kwa abiria na watu wanaofanya shughuli zao ndani ya kituo. Pia, kuna vyoo vichache ukilinganisha na idadi ya abiria na watumiaji wengine wa Kituo. Hali hiyo inaweza kusababisha magonjwa ya mlipuko.
Nimejulishwa hali ya usalama ndani ya kituo ni tete; usalama ndani ya kituo ni mdogo sana kwa abiria na nimepewa taarifa za matukio ya uhalifu ambayo yamesababisha pia madhara kwa abiria.
Nimetembelea kituo na kukuta kuna usumbufu mkubwa sana kwa abiria na watumiaji wengine wa Kituo baada ya maeneo ya awali ya kupumzikia kwa abiria na wasindikizaji kubomolewa.
Nimepokea malalamiko kwa abiria wanaosubiri usafiri kwa muda mrefu na wafanyabiashara wengine wanaofanya shughuli zao ndani ya Kituo na hakuna utaratibu wa upatikanaji wa chakula kama awali.
Nimeelezwa malalamiko ya mawakala wa mabasi juu ya utaratibu uliowekwa ya kwamba... Read more

Post a Comment