Kuna
dalili zinaonekana kuwa huenda muongozaji wa video nchini Nisher
anataka kuingia kwenye filamu. By the way alishawahi kusema angependa
kuja kuwa miongoni mwa waigizaji wakubwa wa filamu Bongo.
Hii imetokana na picha aliyoiweka kwenye akaunti yake ya
Facebook, yenye sura yake pamoja na waigizaji wa filamu, Hemedy Suleiman
aka PHD, Gelly wa Rhymes na Elizabeth Michael aka Lulu. Kwenye picha
hiyo, Nisher ameandika: Swali la KIZUSHI, KAMA HII INGEKUA MOVIE
INGEITWAJE?? H/G/N/L.
Dalili kuwa huenda kukawa na project ya kweli ya filamu hiyo
zimeongezewa chumvi zaidi na uamuzi Nisher kuweka picha hiyo chini kama
‘cover photo’ mpya ya ukurasa wake Facebook.

Haya ndio baadhi ya mapendekezo yaliyotolewa na mashabiki wa Nisher kuhusu jina la movie hiyo:
Precious Keyler Prosper HOT SWAGGS, BEEF COZ OF LUV, MY SWAGGZ, three suitors one husband, Swaggz In Town, Am a champin n0t star, Hot Time, 3 suitors; THREE IN ONE, Noble the four buddies, The four rivals
True Colors, Sharo movie, The Legends nk.

Muda utaongea.

إرسال تعليق