Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Joel Bendera (kulia), akizungumza
alipotembelea hivi karibuni Kiwanda cha Kibuku cha Darbrew, kilichopo
Ubungo Dar es Salaam. Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa kiwanda hicho,
Kirowi Suma. Kulia ni Akoli Mbilinyi ambaye ni Ofisa Rasilimali Watu wa
kiwanda hicho.
Joel Bendera (kulia) akitembelea kiwanda hicho. Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa kiwanda hicho. Kirowi Suma.
Mkurugenzi Mtendaji wa Kiwanda cha Kibuku cha Darbrew Limited, Kirowi
Suma (kushoto), akielezea mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Joel
Bendera kuhusu utendaji wa kiwanda hicho. Bendera alitembelea hivi
karibuni kiwanda hicho kilichopo Ubungo Dar es Salaam.
Bendera akipata maelezo kuhusu uzalishaji bora wa kinywaji cha asili cha kibuku kiwandani hapo
Bendera akiwa ndani ya kiwanda hicho kilichopo Ubungo karibu na Kituo Kikuu cha Mabasi
Bendera akiwa na baadhi ya viongozi wa kiwanda hicho alipotembelea kiwanda hicho
Bendera akiondoka baada ya kumaliza ziara kiwandani hapo
إرسال تعليق