Aliyekuwa
mtangazaji wa Clouds FM, Reuben Ndege aka Nchakalih, producer wa B’Hits
Music Group Hermes Tyrol Lyimo aka Hermy B na Miss East Africa 2012,
Jocelyne Kimaro leo wameichambua kwa undani albam mpya ya Jay-Z ‘Magna
Carta Holy Grail’ kwenye kipindi cha The Switch cha Times FM 100.5.
Wasikilize hapa
Post a Comment