Amiri
Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Rais Jakaya Mrisho Kikwete
akiingia katika uwanja wa gwaride wa Chuo Cha Mafunzo ya Kijeshi (TMA)
Monduli, Arusha, tayari kwa kutunuku kamisheni kwa Maafisa wa JWTZ leo
Julai 13. Pamoja naye ni Mkuu wa Chuo hicho Meja Jenerali V.K. Mritaba.
Jumla ya wahitimu 205, wakiwemo wanawake 25, wametunukiwa kamisheni na
kuwa Luteni Usu, ambapo wahitimu wawili ni wa kutoka Uganda na Visiwa
vya Shelisheli.
Amiri
Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Rais Jakaya Mrisho
Kikwete akikagua gwaride katika Chuo Cha Mafunzo ya Kijeshi (TMA)
Monduli, Arusha, kabla ya kutunuku kamisheni kwa Maafisa wa JWTZ leo.
Amiri
Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Rais Jakaya Mrisho
Kikwete akimpa zawadi Ofisa Kadet Ngodoke kwa kuibuka mwanafunzi bora
wa jumla mwaka huu katika Chuo Cha Mafunzo ya Kijeshi (TMA) Monduli,
Arusha, kabla ya kutunuku kamisheni kwa Maafisa wa JWTZ leo Julai 13.
Jumla ya wahitimu 205, wakiwemo wanawake 25, wametunukiwa kamisheni na
kuwa Luteni Usu, ambapo wahitimu wawili ni wa kutoka Uganda na Visiwa
vya Shelisheli.
Amiri
Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Rais Jakaya Mrisho
Kikwete akimpa zawadi Ofisa Kadet D.G.L. Wong- Pool toka Visiwa vya
Ushelisheli kwa kuibuka mwanafunzi bora wa kigeni wa jumla mwaka huu
katika Chuo Cha Mafunzo ya Kijeshi (TMA) Monduli, Arusha, kabla ya
kutunuku kamisheni kwa Maafisa wa JWTZ leo Julai 13. Jumla ya wahitimu
205, wakiwemo wanawake 25, wametunukiwa kamisheni na kuwa Luteni Usu,
ambapo wahitimu wawili ni wa kutoka Uganda na Visiwa vya Shelisheli.
Jeshi
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Rais Jakaya Mrisho
Kikwete akitunuku kamisheni kwa maafisa katika Chuo cha Cha Mafunzo ya
Kijeshi (TMA) Monduli, Arusha, kabla ya kutunuku kamisheni kwa Maafisa
wa JWTZ leo Julai 13. Jumla ya wahitimu 205, wakiwemo wanawake 25,
wametunukiwa kamisheni na kuwa Luteni Usu, ambapo wahitimu wawili ni wa
kutoka Uganda na Visiwa vya Shelisheli.
Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihurtubia wakati sherehe hizo.
Meza
kuu wakati wa sherehe za kutunuku kamisheni kwa Maafisa wa JWTZ leo
Julai 13. Jumla ya wahitimu 205, wakiwemo wanawake 25, wametunukiwa
kamisheni na kuwa Luteni Usu, ambapo wahitimu wawili ni wa kutoka Uganda
na Visiwa vya Shelisheli.
Amiri
Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Rais Jakaya Mrisho
Kikwete akiongea na Waziri Mkuu Mizengo Pinda, Mkuu wa Majeshi Jenerali
Davis Mwamunyange baada ya sherehe za kutunuku
kamisheni kwa Maafisa wa JWTZ leo Julai 13. Jumla ya wahitimu 205,
wakiwemo wanawake 25, wametunukiwa kamisheni na kuwa Luteni Usu, ambapo
wahitimu wawili ni wa kutoka Uganda na Visiwa vya Shelisheli. (Picha na
IKULU).
Post a Comment