Unakumbuka kwenye interview
aliyofanya na Bongo5, mrembo wa Kenya Huddah Monroe alikiri kuupenda
muziki wa Diamond? Basi huenda model huyo aliyeiwakilisha Kenya mwaka
huu kwenye shindano la Big Brother Africa aka The Chase anazidi kukoma
na swagga za mtoto wa Mbagala Nasib Abdul aka Rais wa Wasafi!
Leo kwenye Instagram, Huddah amepost picha ya Diamond akiogelea na
kuandika: ‘This nigga Diamond Platnumz..badder than most….Better a
Diamond with Flaws than a pebble without one….’
Mhhhhhh!!
Post a Comment