
Kaimu
Meneja Huduma, Utawala na Fedha wa Wakala wa Usajili wa Biashara na
Leseni(BRELA) Bosco Gadi (kushoto) akieleza Vyombo vya Habari juu ya
uimarikaji wa huduma za BRELA,katika mkutano uliofanyika ukumbi wa Idara
ya Habari,kulia ni Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Habari Bi. Zamaradi
Kawawa.

Naibu
Msajili, Mkuu wa Idara ya Sheria na Biashara wa Wakala wa Usajili wa
Biashara na Leseni (BRELA)Andrew Mkapa(kushoto) akifafanua jambo wakati
wa mkutano na waandishi wa habari kulia ni Kaimu Meneja Huduma, Utawala
na Fedha (BRELA) Bosco Gadi.(PICHA NA ELIPHACE MARWA).
Post a Comment