Huduma za BRELA kuimarika.

_MG_8474
 Kaimu Meneja Huduma, Utawala na Fedha wa Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni(BRELA) Bosco Gadi (kushoto) akieleza Vyombo vya Habari juu ya uimarikaji wa huduma za BRELA,katika mkutano uliofanyika ukumbi wa Idara ya Habari,kulia ni Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Habari Bi. Zamaradi Kawawa.
_MG_8533
Naibu Msajili, Mkuu wa Idara ya Sheria na Biashara wa Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA)Andrew Mkapa(kushoto) akifafanua jambo wakati wa mkutano na waandishi wa habari kulia ni Kaimu Meneja Huduma, Utawala na Fedha (BRELA) Bosco Gadi.(PICHA NA ELIPHACE MARWA).

Post a Comment

أحدث أقدم