Nchini
Kenya katika kijiji cha Kigwandi, wilayani ya Tetu, mwanaume mmoja
anashilikiliwa katika kituo cha polisi baada ya kufumaniwa akifanya
mapenzi na kuku.
Mwanamume huyo mwenye umri wa zaidi ya miaka 50 alikamatwa akifanya
kitendo hicho na kuku juzi jioni na mwanae mwenye umri wa miaka 10
aliyeamua kumwita kaka yake na ndipo ikasaidia kukamatwa kwa mtu huyo.
Kaimu afisa mkuu wa polisi katika eneo hilo, Joseph Mwika alisema
mtoto wa jamaa huyo alimuarifu ka’kake mkubwa baada ya kumfumania babake
akifanya kitendo hicho na wawili hao walimripoti baba yao kwa chifu wa
eneo hilo ambaye alimkamata na kumpeleka katika kituo cha polisi.
Source: Standard Digital News
Post a Comment