Kijana wa Kichina aliyetembea baada ya maombi ya Kakobe, Canada

Picture
Kwenye chapisho lililotangulia siku kadhaa, ilikuwepo taarifa inayomnukuu dada Chemi aliyehudhuria mkutano wa Injili wa Askofu Zakaria Kakobe uliofanyika Canada, akisema: “Jana kijana wa Kichina aliyekuwa kwenye wheelchair aliweza kutembea,” na jana kwenye blogu yake ameweka picha za kijana huyo. Hizi zilizopachikwa hapa ni baadhi tu, bofya hapa kutembelea blogu yake kuziona nyingine.

Post a Comment

أحدث أقدم