Khadija
Riyami wa VOA akifanya mahojiano na Mh.Edward Lowassa hotelini kwake
The Willard Washington Dc. Ambapo pamoja na mambo mengine katika
mahojiano hayo alikanusha yale baadhi waliodai kuhamishia siasa zake
kwenye nyumba za ibada. Kusikiliza matangazo hayo ya VOA bofya hapa
chini.
إرسال تعليق