Katika Mdahalo unao endelea sasa kwenye
ukumbi wa nkurumah wa Mustakabali wa Amani na Usalama , wachangiaje
mbali mbali wamesizitiza kuwa Jeshi la polisi ndilo chanzo cha Ghasia
nyingi na Mauaji yanayotokea katika shughuli mbali mbali hasa kunapokuwa
na upinzania katika mikusanyiko hiyo..pia haki ya kikatiba huwa
inakiukwa na polisi kwa kukataza maandamano ya upinzani...ambayo
inaruhusiwa na katiba ya nchi ...wachangiaje wametoa na mifano mbali
mbali kuhusu hilo ....
Je hili ni kweli kwa mtazamo wako?
Je hili ni kweli kwa mtazamo wako?
إرسال تعليق