Studio
za De Fetality zinazomilikiwa na producer Mesen Selekta zilikuwa
zikijulikana kwa kuwa sebuleni lakini baada ya beatmaker huyo kuuchanga,
sasa amezihamishia kwenye ofisi nzuri na ya maana. Mtazame hapa kwenye
show ya online inayotayarishwa na kampuni ya Creative Mindz na
mtangazaji akiwa Kenedy The Remedy wa East Africa Radio
Mesen Selekta akionesha studio zake mpya kwenye ‘The Session’ - Video
Hisia
0
إرسال تعليق