Mwambie na Mwenzio ya Stamina aliyomshirikisha Darassa Yaja(Kaa tayari kuipokea)

stamina01
Msanii mwenye mistari iliyosimama katika hip hop, Stamina a.k.a. ‘Shorwebwenzi’wiki ijayo anatarajia kuachia ngoma mpya iitwayo ‘Mwambie na Mwenzio.
Stamina amesema kuwa kazi hiyo ameirekodiwa Mwanza kwenye studio za One Luv FX, chini ya mpishi Tiddy Hotterna kumshirikisha mkali mwingine wa michano, Darasa.
Stamina amesema wazo zima la chorus ya ngoma hiyo limetoka kwa Darassa na pamoja na mwanadada Wada ambaye ni mgeni katika ulimwengu wa muziki nchini.
“Jina la ngoma mwambie na mwenzio linawakilisha mistari mikali ambayo kila mmoja akiisikia atatamani kumwambia na mwenzie ujumbe ambao atakuwa ameupata,” alisema Stamina.

Post a Comment

أحدث أقدم