Mshiriki kutoka Tanzania, AMY NANDO katika shindano la BBA lenye slogan yake ya “The Chase” mwaka huu, amekuwa nominated tena wiki hii katika kundi la washiriki wanaotakiwa kutoka …
Nando ambae yupo katika kundi hilo na washiriki
wengine sita, amekuwa nominated mara nyingi sana na washiriki wenzie ili
kumtoa ndani ya jumba hilo la BIG BROTHER … hivyo basi #TeamNando #TeamBBATanzania mnatakiwa kumpigia kura mshiriki NANDO mara nyingi iwezekanavyo ili ziweze kumuokoa na kubaki kwa siku 91 na kuweza kujishindia pesa hizo …
Twende #TeamTanzania … Let’s “VOTE “VOTE “VOTE” and VOTE” … Fanya hivyo sasa …

إرسال تعليق