
Rais Mstaafu wa Afrika Kusini Thabo Mbeki amesema Nelson Mandela yupo
karibuni kupelekwa nyumbani baada ya kulazwa zaida ya mwezi kwenye
hospitali ya Pretoria.
“Nelson Mandela ana moyo wa kijana mwenye miaka kumi” Thabo Mbeki
alisema. Grandson Ndaba Mandela, 30, told The Sun that Mr Mandela was
doing well despite still being on a life-support machine.
Nelson Mandela atasherekea siku ya kuzaliwa na kutimiza miaka 95 siku ya alihamisi tarehe 18/jully.
Post a Comment