NEW MUSIC : Maujanja Saplayaz ft. Mo Plus, G-Nako & JCB – Kipande Na Wana



Brand new track kutoka kundi la Maujanja Saplayaz ambalo maskani yake kubwa ipo Mwenge, Dar Es Salaam, ambao safari hii wamekuja na ujio wa ngoma yao nyingine mpya inayokweda kwa jina la “KIPANDE NA WANA”.
Kwenye ngoma hii wasanii walioshirikishwa ni Mo Plus, G-Nako kutoka Weusi pamoja na JCB Makallah.
Take your time na usikilize ngoma yenyewe hapa chini

Post a Comment

أحدث أقدم