Ngoma Africa band kutumbuiza Jambo seeheim Festival ,28.07.2013,


Ngoma Africa band kutumbuiza Jambo seeheim Festival , Jumapili 28.07.2013,

  Mjini Seeheim-Jugenheim,Ujerumani


Kikosi kazi cha Ngoma Africa band aka FFU ughaibuni kinatarajiwa kutingisha jukwaa la Jambo Seeheim  usiku wa jumapili 28.Julai 2013 kuanzia saa 2.00 usiku
katika ukumbi wa Sport & Kulturhalle uliopo Berg Strasse,mjini Seeheim-Jugenheim,huko Ujerumani.
Bendi hiyo maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya itavaana tena jino kwa jino
na washabiki wa muziki katika International African Festival tubingen 2013 siku ya
ijumaa ya 9 na 10 .08.2013 mjini Tubingen,South Germany.
Wadau kaeni tayari tayari kwa gwaride la FFU wa Ngoma Africa band.

Post a Comment

أحدث أقدم