Benki
ya NMB imefadhili semina kubwa iliyohusisha maafisa maendeleo wa vijana
kutoka nchi nzima.Semina hiyo ya siku mbili ilifanyika katika kumbi za
uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.

Katibu Mkuu Wizara ya Habari ,Vijana,Utamaduni na Michezo Bw. Seth Kamuhanda akifafanua jambo wakati wa semina hiyo.

Meneja wa NMB Mikopo Midogo Midogo Bw. Mashaga Changarawe akielezea huduma mbali mbali zitolewazo na Benki ya NMB zikiwemo akaunti pamoja na mikopo mbalimbali kwa wajasiliamali

Meneja Mawasiliano wa NMB, Josephine Kulwa akizungumzia jinsi ambavyo Benki ya NMB kwa kupitia huduma zake kwa wajasiliamali inavyosaidia kuongeza ajira kwa vijana nchini

Sehemu ya washiriki wa semina hiyo

Erick Shigongo nae alitoa maada kuhusiana mafanikio na kujitambua katika ajira
Dhumuni la semina ni kujadili maendeleo ya vijana kuanzia ngazi ya
halmashauri,kuimarisha utendaji kazi kwa vijana wa mikoa na wilaya

Post a Comment